Zaburi 142:4
Psalms 142:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Tazama kuume kwangu na uone, hakuna hata mmoja anayejihusisha nami. Sina kimbilio, hakuna anayejali maisha yangu.
Psalms 142:4 in English
Psalms 142:4 · Berean Standard Bible
Look to my right and see; no one attends to me. There is no refuge for me; no one cares for my soul.
Context
2Namimina malalamiko yangu mbele zake,
mbele zake naeleza shida zangu. 3Wakati roho yangu inapozimia ndani yangu,
wewe ndiwe unajua njia zangu.
Katika njia ninayopita
watu wameniwekea mtego. 4Tazama kuume kwangu na uone,
hakuna hata mmoja anayejihusisha nami.
Sina kimbilio,
hakuna anayejali maisha yangu. 5Ee Bwana, nakulilia wewe,
nasema, “Wewe ni kimbilio langu,
fungu langu katika nchi ya walio hai.” 6Sikiliza kilio changu,
kwa sababu mimi ni mhitaji sana;
niokoe na wale wanaonifuatilia,
kwa kuwa wamenizidi nguvu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.