Native Bible

Psalms 132:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Adui zake nitawavika aibu, bali taji kichwani pake itangʼaa sana.”

Psalms 132:18 in English

Psalms 132:18 · Berean Standard Bible

I will clothe his enemies with shame, but the crown upon him will gleam.”

Context

16Nitawavika makuhani wake wokovu, nao watakatifu wake watadumu wakiimba kwa furaha. 17“Hapa nitamchipushia Daudi pembe,* na kuweka taa kwa ajili ya masiya* wangu. 18Adui zake nitawavika aibu, bali taji kichwani pake itangʼaa sana.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.