Native Bible

Psalms 132:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nitawavika makuhani wake wokovu, nao watakatifu wake watadumu wakiimba kwa furaha.

Psalms 132:16 in English

Psalms 132:16 · Berean Standard Bible

I will clothe her priests with salvation, and her saints will sing out in joy.

Context

14“Hapa ni mahali pangu pa kupumzika milele na milele; hapa ndipo nitakapoketi nikitawala, kwa sababu nimepaonea shauku: 15Nitambariki kwa kumpa mahitaji tele: nitashibisha maskini wake kwa chakula. 16Nitawavika makuhani wake wokovu, nao watakatifu wake watadumu wakiimba kwa furaha. 17“Hapa nitamchipushia Daudi pembe,* na kuweka taa kwa ajili ya masiya* wangu. 18Adui zake nitawavika aibu, bali taji kichwani pake itangʼaa sana.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.