Native Bible

Psalms 13:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nitapambana na mawazo yangu mpaka lini, na kila siku kuwa na majonzi moyoni mwangu? Adui zangu watanishinda mpaka lini?

Psalms 13:2 in English

Psalms 13:2 · Berean Standard Bible

How long must I wrestle in my soul, with sorrow in my heart each day? How long will my enemy dominate me?

Context

1Mpaka lini, Ee Bwana? Je, utanisahau milele? Utanificha uso wako mpaka lini? 2Nitapambana na mawazo yangu mpaka lini, na kila siku kuwa na majonzi moyoni mwangu? Adui zangu watanishinda mpaka lini? 3Nitazame, unijibu, Ee Bwana Mungu wangu. Yatie nuru macho yangu, ama sivyo nitalala usingizi wa mauti. 4Adui yangu atasema, “Nimemshinda,” nao adui zangu watashangilia nitakapoanguka.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.