Native Bible

Psalms 13:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mpaka lini, Ee Bwana? Je, utanisahau milele? Utanificha uso wako mpaka lini?

Psalms 13:1 in English

Psalms 13:1 · Berean Standard Bible

How long, O LORD? Will You forget me forever? How long will You hide Your face from me?

Context

1Mpaka lini, Ee Bwana? Je, utanisahau milele? Utanificha uso wako mpaka lini? 2Nitapambana na mawazo yangu mpaka lini, na kila siku kuwa na majonzi moyoni mwangu? Adui zangu watanishinda mpaka lini? 3Nitazame, unijibu, Ee Bwana Mungu wangu. Yatie nuru macho yangu, ama sivyo nitalala usingizi wa mauti.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.