Zaburi 128:4
Psalms 128:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hivyo ndivyo atakavyobarikiwa mtu amchaye Bwana.
Psalms 128:4 in English
Psalms 128:4 · Berean Standard Bible
In this way indeed shall blessing come to the man who fears the LORD.
Context
2Utakula matunda ya kazi yako;
baraka na mafanikio vitakuwa vyako. 3Mke wako atakuwa kama mzabibu uzaao
ndani ya nyumba yako;
wana wako watakuwa kama machipukizi ya mizeituni
kuizunguka meza yako. 4Hivyo ndivyo atakavyobarikiwa
mtu amchaye Bwana. 5Bwana na akubariki kutoka Sayuni
siku zote za maisha yako,
na uone mafanikio ya Yerusalemu, 6nawe ujaliwe kuishi uone watoto wa watoto wako.
Amani iwe juu ya Israeli.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.