Zaburi 128:2
Psalms 128:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Utakula matunda ya kazi yako; baraka na mafanikio vitakuwa vyako.
Psalms 128:2 in English
Psalms 128:2 · Berean Standard Bible
For when you eat the fruit of your labor, blessings and prosperity will be yours.
Context
1Heri ni wale wote wamchao Bwana,
waendao katika njia zake. 2Utakula matunda ya kazi yako;
baraka na mafanikio vitakuwa vyako. 3Mke wako atakuwa kama mzabibu uzaao
ndani ya nyumba yako;
wana wako watakuwa kama machipukizi ya mizeituni
kuizunguka meza yako. 4Hivyo ndivyo atakavyobarikiwa
mtu amchaye Bwana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.