Native Bible

Psalms 128:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Heri ni wale wote wamchao Bwana, waendao katika njia zake.

Psalms 128:1 in English

Psalms 128:1 · Berean Standard Bible

Blessed are all who fear the LORD, who walk in His ways!

Context

1Heri ni wale wote wamchao Bwana, waendao katika njia zake. 2Utakula matunda ya kazi yako; baraka na mafanikio vitakuwa vyako. 3Mke wako atakuwa kama mzabibu uzaao ndani ya nyumba yako; wana wako watakuwa kama machipukizi ya mizeituni kuizunguka meza yako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.