Native Bible

Psalms 128:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana na akubariki kutoka Sayuni siku zote za maisha yako, na uone mafanikio ya Yerusalemu,

Psalms 128:5 in English

Psalms 128:5 · Berean Standard Bible

May the LORD bless you from Zion, that you may see the prosperity of Jerusalem all the days of your life,

Context

3Mke wako atakuwa kama mzabibu uzaao ndani ya nyumba yako; wana wako watakuwa kama machipukizi ya mizeituni kuizunguka meza yako. 4Hivyo ndivyo atakavyobarikiwa mtu amchaye Bwana. 5Bwana na akubariki kutoka Sayuni siku zote za maisha yako, na uone mafanikio ya Yerusalemu, 6nawe ujaliwe kuishi uone watoto wa watoto wako. Amani iwe juu ya Israeli.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.