Zaburi 127:4
Psalms 127:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kama mishale mikononi mwa shujaa ndivyo walivyo wana awazaao mtu katika ujana wake.
Psalms 127:4 in English
Psalms 127:4 · Berean Standard Bible
Like arrows in the hand of a warrior, so are children born in one’s youth.
Context
2Mnajisumbua bure kuamka mapema
na kuchelewa kulala,
mkitaabikia chakula:
kwa maana yeye huwapa usingizi wapenzi wake. 3Wana ni urithi utokao kwa Bwana,
watoto ni zawadi kutoka kwake. 4Kama mishale mikononi mwa shujaa
ndivyo walivyo wana awazaao mtu katika ujana wake. 5Heri mtu ambaye podo lake
limejazwa nao.
Hawataaibishwa wanaposhindana
na adui zao langoni.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.