Native Bible

Psalms 127:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Heri mtu ambaye podo lake limejazwa nao. Hawataaibishwa wanaposhindana na adui zao langoni.

Psalms 127:5 in English

Psalms 127:5 · Berean Standard Bible

Blessed is the man whose quiver is full of them. He will not be put to shame when he confronts the enemies at the gate.

Context

3Wana ni urithi utokao kwa Bwana, watoto ni zawadi kutoka kwake. 4Kama mishale mikononi mwa shujaa ndivyo walivyo wana awazaao mtu katika ujana wake. 5Heri mtu ambaye podo lake limejazwa nao. Hawataaibishwa wanaposhindana na adui zao langoni.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.