Native Bible

Psalms 127:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mnajisumbua bure kuamka mapema na kuchelewa kulala, mkitaabikia chakula: kwa maana yeye huwapa usingizi wapenzi wake.

Psalms 127:2 in English

Psalms 127:2 · Berean Standard Bible

In vain you rise early and stay up late, toiling for bread to eat— for He gives sleep to His beloved.

Context

1Bwana asipoijenga nyumba, wajengao hufanya kazi bure. Bwana asipoulinda mji, walinzi wakesha bure. 2Mnajisumbua bure kuamka mapema na kuchelewa kulala, mkitaabikia chakula: kwa maana yeye huwapa usingizi wapenzi wake. 3Wana ni urithi utokao kwa Bwana, watoto ni zawadi kutoka kwake. 4Kama mishale mikononi mwa shujaa ndivyo walivyo wana awazaao mtu katika ujana wake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.