Native Bible

Psalms 125:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, watendee mema walio wema, wale walio wanyofu wa moyo.

Psalms 125:4 in English

Psalms 125:4 · Berean Standard Bible

Do good, O LORD, to those who are good, and to the upright in heart.

Context

2Kama milima inavyozunguka Yerusalemu, ndivyo Bwana anavyowazunguka watu wake sasa na hata milele. 3Fimbo ya waovu haitadumu juu ya nchi waliopewa wenye haki, ili wenye haki wasije wakatumia mikono yao kutenda ubaya. 4Ee Bwana, watendee mema walio wema, wale walio wanyofu wa moyo. 5Bali wale wanaogeukia njia zilizopotoka, Bwana atawafukuza pamoja na watenda mabaya. Amani iwe juu ya Israeli.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.