Zaburi 125:2
Psalms 125:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kama milima inavyozunguka Yerusalemu, ndivyo Bwana anavyowazunguka watu wake sasa na hata milele.
Psalms 125:2 in English
Psalms 125:2 · Berean Standard Bible
As the mountains surround Jerusalem, so the LORD surrounds His people, both now and forevermore.
Context
1Wale wamtumainio Bwana ni kama mlima Sayuni,
ambao hauwezi kutikisika, bali wadumu milele. 2Kama milima inavyozunguka Yerusalemu,
ndivyo Bwana anavyowazunguka watu wake
sasa na hata milele. 3Fimbo ya waovu haitadumu juu ya nchi
waliopewa wenye haki,
ili wenye haki wasije wakatumia
mikono yao kutenda ubaya. 4Ee Bwana, watendee mema walio wema,
wale walio wanyofu wa moyo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.