Native Bible

Psalms 125:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bali wale wanaogeukia njia zilizopotoka, Bwana atawafukuza pamoja na watenda mabaya. Amani iwe juu ya Israeli.

Psalms 125:5 in English

Psalms 125:5 · Berean Standard Bible

But those who turn to crooked ways the LORD will banish with the evildoers. Peace be upon Israel.

Context

3Fimbo ya waovu haitadumu juu ya nchi waliopewa wenye haki, ili wenye haki wasije wakatumia mikono yao kutenda ubaya. 4Ee Bwana, watendee mema walio wema, wale walio wanyofu wa moyo. 5Bali wale wanaogeukia njia zilizopotoka, Bwana atawafukuza pamoja na watenda mabaya. Amani iwe juu ya Israeli.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.