Native Bible

Psalms 122:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Huko viti vya enzi vya hukumu hukaa, viti vya enzi vya nyumba ya Daudi.

Psalms 122:5 in English

Psalms 122:5 · Berean Standard Bible

For there the thrones of judgment stand, the thrones of the house of David.

Context

3Yerusalemu imejengwa vyema kama mji ambao umeshikamanishwa pamoja. 4Huko ndiko makabila hukwea, makabila ya Bwana, kulisifu jina la Bwana kulingana na maagizo waliopewa Israeli. 5Huko viti vya enzi vya hukumu hukaa, viti vya enzi vya nyumba ya Daudi. 6Omba kwa ajili ya amani ya Yerusalemu: “Wote wakupendao na wawe salama. 7Amani na iwepo ndani ya kuta zako na usalama ndani ya ngome zako.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.