Native Bible

Psalms 122:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Amani na iwepo ndani ya kuta zako na usalama ndani ya ngome zako.”

Psalms 122:7 in English

Psalms 122:7 · Berean Standard Bible

May there be peace within your walls, and prosperity * inside your fortresses.”

Context

5Huko viti vya enzi vya hukumu hukaa, viti vya enzi vya nyumba ya Daudi. 6Omba kwa ajili ya amani ya Yerusalemu: “Wote wakupendao na wawe salama. 7Amani na iwepo ndani ya kuta zako na usalama ndani ya ngome zako.” 8Kwa ajili ya ndugu zangu na marafiki, nitasema, “Amani iwe ndani yako.” 9Kwa ajili ya nyumba ya Bwana Mungu wetu, nitatafuta mafanikio yako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.