Native Bible

Psalms 122:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yerusalemu imejengwa vyema kama mji ambao umeshikamanishwa pamoja.

Psalms 122:3 in English

Psalms 122:3 · Berean Standard Bible

Jerusalem is built up as a city united together,

Context

1Nilishangilia pamoja na wale walioniambia, “Twende nyumbani ya Bwana.” 2Ee Yerusalemu, miguu yetu imesimama malangoni mwako. 3Yerusalemu imejengwa vyema kama mji ambao umeshikamanishwa pamoja. 4Huko ndiko makabila hukwea, makabila ya Bwana, kulisifu jina la Bwana kulingana na maagizo waliopewa Israeli. 5Huko viti vya enzi vya hukumu hukaa, viti vya enzi vya nyumba ya Daudi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.