Native Bible

Psalms 121:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana atakukinga na madhara yote, atayalinda maisha yako,

Psalms 121:7 in English

Psalms 121:7 · Berean Standard Bible

The LORD will guard you from all evil; He will preserve your soul.

Context

5Bwana anakulinda, Bwana ni uvuli wako mkono wako wa kuume, 6jua halitakudhuru mchana, wala mwezi wakati wa usiku. 7Bwana atakukinga na madhara yote, atayalinda maisha yako, 8Bwana atakulinda unapoingia na unapotoka, tangu sasa na hata milele.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.