Native Bible

Psalms 121:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana anakulinda, Bwana ni uvuli wako mkono wako wa kuume,

Psalms 121:5 in English

Psalms 121:5 · Berean Standard Bible

The LORD is your keeper; the LORD is the shade on your right hand.

Context

3Hatauacha mguu wako uteleze, yeye akulindaye hatasinzia, 4hakika, yeye alindaye Israeli hatasinzia wala hatalala usingizi. 5Bwana anakulinda, Bwana ni uvuli wako mkono wako wa kuume, 6jua halitakudhuru mchana, wala mwezi wakati wa usiku. 7Bwana atakukinga na madhara yote, atayalinda maisha yako,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.