Zaburi 119:114
Psalms 119:114 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wewe ni kimbilio langu na ngao yangu, nimeweka tumaini langu katika neno lako.
Psalms 119:114 in English
Psalms 119:114 · Berean Standard Bible
You are my hiding place and my shield; I put my hope in Your word.
Context
112Nimekusudia moyoni mwangu
kuyafuata maagizo yako mpaka mwisho. 113Ninachukia watu wa nia mbili,
lakini ninapenda sheria yako. 114Wewe ni kimbilio langu na ngao yangu,
nimeweka tumaini langu katika neno lako. 115Ondokeni kwangu, ninyi mtendao mabaya,
ili niweze kushika amri za Mungu wangu! 116Nihifadhi sawasawa na ahadi yako, nami nitaishi;
usiache matumaini yangu yakavunjwa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.