Zaburi 119:113
Psalms 119:113 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ninachukia watu wa nia mbili, lakini ninapenda sheria yako.
Psalms 119:113 in English
Psalms 119:113 · Berean Standard Bible
The double-minded I despise, but Your law I love.
Context
111Sheria zako ni urithi wangu milele,
naam ni furaha ya moyo wangu. 112Nimekusudia moyoni mwangu
kuyafuata maagizo yako mpaka mwisho. 113Ninachukia watu wa nia mbili,
lakini ninapenda sheria yako. 114Wewe ni kimbilio langu na ngao yangu,
nimeweka tumaini langu katika neno lako. 115Ondokeni kwangu, ninyi mtendao mabaya,
ili niweze kushika amri za Mungu wangu!
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.