Native Bible

Psalms 119:112 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nimekusudia moyoni mwangu kuyafuata maagizo yako mpaka mwisho.

Psalms 119:112 in English

Psalms 119:112 · Berean Standard Bible

I have inclined my heart to perform Your statutes, even to the very end.

Context

110Waovu wamenitegea mtego, lakini sijayakiuka maagizo yako. 111Sheria zako ni urithi wangu milele, naam ni furaha ya moyo wangu. 112Nimekusudia moyoni mwangu kuyafuata maagizo yako mpaka mwisho. 113Ninachukia watu wa nia mbili, lakini ninapenda sheria yako. 114Wewe ni kimbilio langu na ngao yangu, nimeweka tumaini langu katika neno lako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.