Native Bible

Psalms 118:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana yuko pamoja nami, sitaogopa. Mwanadamu anaweza kunitenda nini?

Psalms 118:6 in English

Psalms 118:6 · Berean Standard Bible

The LORD is on my side;* I will not be afraid. What can man do to me?*

Context

4Wote wamchao Bwana na waseme sasa: “Upendo wake wadumu milele.” 5Wakati wa maumivu yangu makuu nilimlilia Bwana, naye akanijibu kwa kuniweka huru. 6Bwana yuko pamoja nami, sitaogopa. Mwanadamu anaweza kunitenda nini? 7Bwana yuko pamoja nami, yeye ni msaidizi wangu. Nitawatazama adui zangu wakiwa wameshindwa. 8Ni bora kumkimbilia Bwana kuliko kumtumainia mwanadamu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.