Native Bible

Psalms 118:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ni bora kumkimbilia Bwana kuliko kumtumainia mwanadamu.

Psalms 118:8 in English

Psalms 118:8 · Berean Standard Bible

It is better to take refuge in the LORD than to trust in man.

Context

6Bwana yuko pamoja nami, sitaogopa. Mwanadamu anaweza kunitenda nini? 7Bwana yuko pamoja nami, yeye ni msaidizi wangu. Nitawatazama adui zangu wakiwa wameshindwa. 8Ni bora kumkimbilia Bwana kuliko kumtumainia mwanadamu. 9Ni bora kumkimbilia Bwana kuliko kuwatumainia wakuu. 10Mataifa yote yalinizunguka, lakini kwa jina la Bwana naliwakatilia mbali.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.