Zaburi 118:10
Psalms 118:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mataifa yote yalinizunguka, lakini kwa jina la Bwana naliwakatilia mbali.
Psalms 118:10 in English
Psalms 118:10 · Berean Standard Bible
All the nations surrounded me, but in the name of the LORD I cut them off.
Context
8Ni bora kumkimbilia Bwana
kuliko kumtumainia mwanadamu. 9Ni bora kumkimbilia Bwana
kuliko kuwatumainia wakuu. 10Mataifa yote yalinizunguka,
lakini kwa jina la Bwana naliwakatilia mbali. 11Walinizunguka pande zote,
lakini kwa jina la Bwana naliwakatilia mbali. 12Walinizunguka kama kundi la nyuki,
lakini walikufa haraka kama miiba iteketeayo;
kwa jina la Bwana naliwakatilia mbali.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.