Native Bible

Psalms 118:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Walinizunguka pande zote, lakini kwa jina la Bwana naliwakatilia mbali.

Psalms 118:11 in English

Psalms 118:11 · Berean Standard Bible

They surrounded me on every side, but in the name of the LORD I cut them off.

Context

9Ni bora kumkimbilia Bwana kuliko kuwatumainia wakuu. 10Mataifa yote yalinizunguka, lakini kwa jina la Bwana naliwakatilia mbali. 11Walinizunguka pande zote, lakini kwa jina la Bwana naliwakatilia mbali. 12Walinizunguka kama kundi la nyuki, lakini walikufa haraka kama miiba iteketeayo; kwa jina la Bwana naliwakatilia mbali. 13Nilisukumwa nyuma karibu kuanguka, lakini Bwana alinisaidia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.