Zaburi 118:13
Psalms 118:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nilisukumwa nyuma karibu kuanguka, lakini Bwana alinisaidia.
Psalms 118:13 in English
Psalms 118:13 · Berean Standard Bible
I was pushed so hard I was falling, but the LORD helped me.
Context
11Walinizunguka pande zote,
lakini kwa jina la Bwana naliwakatilia mbali. 12Walinizunguka kama kundi la nyuki,
lakini walikufa haraka kama miiba iteketeayo;
kwa jina la Bwana naliwakatilia mbali. 13Nilisukumwa nyuma karibu kuanguka,
lakini Bwana alinisaidia. 14Bwana ni nguvu yangu na wimbo wangu,
yeye amefanyika wokovu wangu. 15Sauti za shangwe na ushindi
zinavuma hemani mwa wenye haki:
“Mkono wa kuume wa Bwana
umetenda mambo makuu!
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.