Zaburi 118:5
Psalms 118:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wakati wa maumivu yangu makuu nilimlilia Bwana, naye akanijibu kwa kuniweka huru.
Psalms 118:5 in English
Psalms 118:5 · Berean Standard Bible
In my distress I called to the LORD, and He answered and set me free.
Context
3Nyumba ya Aroni na iseme sasa:
“Upendo wake wadumu milele.” 4Wote wamchao Bwana na waseme sasa:
“Upendo wake wadumu milele.” 5Wakati wa maumivu yangu makuu nilimlilia Bwana,
naye akanijibu kwa kuniweka huru. 6Bwana yuko pamoja nami, sitaogopa.
Mwanadamu anaweza kunitenda nini? 7Bwana yuko pamoja nami,
yeye ni msaidizi wangu.
Nitawatazama adui zangu
wakiwa wameshindwa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.