Zaburi 115:5
Psalms 115:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Zina vinywa, lakini haziwezi kusema, zina macho, lakini haziwezi kuona;
Psalms 115:5 in English
Psalms 115:5 · Berean Standard Bible
They have mouths, but cannot speak; they have eyes, but cannot see;
Context
3Mungu wetu yuko mbinguni,
naye hufanya lolote limpendezalo. 4Lakini sanamu zao ni za fedha na dhahabu,
zilizotengenezwa kwa mikono ya wanadamu. 5Zina vinywa, lakini haziwezi kusema,
zina macho, lakini haziwezi kuona; 6zina masikio, lakini haziwezi kusikia,
zina pua, lakini haziwezi kunusa; 7zina mikono, lakini haziwezi kupapasa,
zina miguu, lakini haziwezi kutembea;
wala koo zao haziwezi kutoa sauti.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.