Native Bible

Psalms 115:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini sanamu zao ni za fedha na dhahabu, zilizotengenezwa kwa mikono ya wanadamu.

Psalms 115:4 in English

Psalms 115:4 · Berean Standard Bible

Their idols are silver and gold, made by the hands of men.

Context

2Kwa nini mataifa waseme, “Yuko wapi Mungu wao?” 3Mungu wetu yuko mbinguni, naye hufanya lolote limpendezalo. 4Lakini sanamu zao ni za fedha na dhahabu, zilizotengenezwa kwa mikono ya wanadamu. 5Zina vinywa, lakini haziwezi kusema, zina macho, lakini haziwezi kuona; 6zina masikio, lakini haziwezi kusikia, zina pua, lakini haziwezi kunusa;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.