Native Bible

Psalms 11:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hebu tazama, waovu wanapinda pinde zao, huweka mishale kwenye uzi wake, wakiwa gizani ili kuwapiga wale wanyofu wa moyo.

Psalms 11:2 in English

Psalms 11:2 · Berean Standard Bible

For behold, the wicked bend their bows. They set their arrow on the string to shoot from the shadows at the upright in heart.

Context

1Kwa Bwana ninakimbilia, unawezaje basi kuniambia: “Ruka kama ndege kwenye mlima wako. 2Hebu tazama, waovu wanapinda pinde zao, huweka mishale kwenye uzi wake, wakiwa gizani ili kuwapiga wale wanyofu wa moyo. 3Wakati misingi imeharibiwa, mwenye haki anaweza kufanya nini?” 4Bwana yuko ndani ya Hekalu lake takatifu; Bwana yuko kwenye kiti chake cha enzi mbinguni. Huwaangalia wana wa watu, macho yake yanawajaribu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.