Native Bible

Psalms 11:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa Bwana ninakimbilia, unawezaje basi kuniambia: “Ruka kama ndege kwenye mlima wako.

Psalms 11:1 in English

Psalms 11:1 · Berean Standard Bible

In the LORD I take refuge. How then can you say to me: “Flee like a bird to your mountain!

Context

1Kwa Bwana ninakimbilia, unawezaje basi kuniambia: “Ruka kama ndege kwenye mlima wako. 2Hebu tazama, waovu wanapinda pinde zao, huweka mishale kwenye uzi wake, wakiwa gizani ili kuwapiga wale wanyofu wa moyo. 3Wakati misingi imeharibiwa, mwenye haki anaweza kufanya nini?”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.