Zaburi 106:3
Psalms 106:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Heri wale wanaodumisha haki, ambao daima wanafanya yaliyo mema.
Psalms 106:3 in English
Psalms 106:3 · Berean Standard Bible
Blessed are those who uphold justice, who practice righteousness at all times.
Context
1Msifuni Bwana.
Mshukuruni Bwana, kwa kuwa ni mwema;
upendo wake wadumu milele. 2Ni nani awezaye kusimulia matendo makuu ya Bwana
au kutangaza kikamilifu sifa zake? 3Heri wale wanaodumisha haki,
ambao daima wanafanya yaliyo mema. 4Ee Bwana, unikumbuke unapowatendea mema watu wako,
uwe msaada wangu unapowaokoa, 5ili niweze kufurahia mafanikio ya wateule wako,
niweze kushiriki katika furaha ya taifa lako,
na kuungana na urithi wako katika kukusifu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.