Zaburi 106:4
Psalms 106:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ee Bwana, unikumbuke unapowatendea mema watu wako, uwe msaada wangu unapowaokoa,
Psalms 106:4 in English
Psalms 106:4 · Berean Standard Bible
Remember me, O LORD, in Your favor to Your people; visit me with Your salvation,
Context
2Ni nani awezaye kusimulia matendo makuu ya Bwana
au kutangaza kikamilifu sifa zake? 3Heri wale wanaodumisha haki,
ambao daima wanafanya yaliyo mema. 4Ee Bwana, unikumbuke unapowatendea mema watu wako,
uwe msaada wangu unapowaokoa, 5ili niweze kufurahia mafanikio ya wateule wako,
niweze kushiriki katika furaha ya taifa lako,
na kuungana na urithi wako katika kukusifu. 6Tumetenda dhambi, kama vile baba zetu walivyotenda,
tumekosa na tumetenda uovu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.