Zaburi 106:19
Psalms 106:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Huko Horebu walitengeneza ndama, na kuabudu sanamu ya kusubu kwa chuma.
Psalms 106:19 in English
Psalms 106:19 · Berean Standard Bible
At Horeb * they made a calf and worshiped a molten image.
Context
17Ardhi ilifunguka ikawameza Dathani,
ikawazika Abiramu na kundi lake. 18Moto uliwaka katikati ya wafuasi wao,
mwali wa moto uliwateketeza waovu. 19Huko Horebu walitengeneza ndama,
na kuabudu sanamu ya kusubu kwa chuma. 20Waliubadilisha Utukufu wao
kwa sanamu ya fahali, ambaye hula majani. 21Walimsahau Mungu aliyewaokoa,
aliyekuwa ametenda mambo makuu huko Misri,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.