Native Bible

Psalms 106:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Moto uliwaka katikati ya wafuasi wao, mwali wa moto uliwateketeza waovu.

Psalms 106:18 in English

Psalms 106:18 · Berean Standard Bible

Then fire blazed through their company; flames consumed the wicked.

Context

16Kambini walimwonea wivu Mose, na pia Aroni aliyekuwa amewekwa wakfu kwa Bwana. 17Ardhi ilifunguka ikawameza Dathani, ikawazika Abiramu na kundi lake. 18Moto uliwaka katikati ya wafuasi wao, mwali wa moto uliwateketeza waovu. 19Huko Horebu walitengeneza ndama, na kuabudu sanamu ya kusubu kwa chuma. 20Waliubadilisha Utukufu wao kwa sanamu ya fahali, ambaye hula majani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.