Zaburi 1:4
Psalms 1:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Sivyo walivyo waovu! Wao ni kama makapi yapeperushwayo na upepo.
Psalms 1:4 in English
Psalms 1:4 · Berean Standard Bible
Not so the wicked! For they are like chaff driven off by the wind.
Context
2Bali huifurahia sheria ya Bwana,
naye huitafakari hiyo sheria usiku na mchana. 3Mtu huyo ni kama mti uliopandwa
kando ya vijito vya maji,
ambao huzaa matunda kwa majira yake
na majani yake hayanyauki.
Lolote afanyalo hufanikiwa. 4Sivyo walivyo waovu!
Wao ni kama makapi
yapeperushwayo na upepo. 5Kwa hiyo waovu hawatastahimili hukumu,
wala wenye dhambi katika kusanyiko la wenye haki. 6Kwa maana Bwana huziangalia njia za mwenye haki,
bali njia ya waovu itaangamia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.