Native Bible

Psalms 1:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa maana Bwana huziangalia njia za mwenye haki, bali njia ya waovu itaangamia.

Psalms 1:6 in English

Psalms 1:6 · Berean Standard Bible

For the LORD guards the path of the righteous, but the way of the wicked will perish.

Context

4Sivyo walivyo waovu! Wao ni kama makapi yapeperushwayo na upepo. 5Kwa hiyo waovu hawatastahimili hukumu, wala wenye dhambi katika kusanyiko la wenye haki. 6Kwa maana Bwana huziangalia njia za mwenye haki, bali njia ya waovu itaangamia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.