Mithali 5:8
Proverbs 5:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Njia zenu ziwe mbali naye, msiende karibu na mlango wa nyumba yake,
Proverbs 5:8 in English
Proverbs 5:8 · Berean Standard Bible
Keep your path far from her; do not go near the door of her house,
Context
6Yeye hafikiri juu ya njia ya uzima;
njia zake zimepotoka, lakini yeye hajui. 7Sasa basi wanangu, nisikilizeni;
msiache ninalowaambia. 8Njia zenu ziwe mbali naye,
msiende karibu na mlango wa nyumba yake, 9usije ukatoa nguvu zako nzuri kwa wengine
na miaka yako kwa aliye mkatili, 10wageni wasije wakasherehekea utajiri wako
na jitihada yako ikatajirisha
nyumba ya mwanaume mwingine.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.