Mithali 5:10
Proverbs 5:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
wageni wasije wakasherehekea utajiri wako na jitihada yako ikatajirisha nyumba ya mwanaume mwingine.
Proverbs 5:10 in English
Proverbs 5:10 · Berean Standard Bible
lest strangers feast on your wealth, and your labors enrich the house of a foreigner.
Context
8Njia zenu ziwe mbali naye,
msiende karibu na mlango wa nyumba yake, 9usije ukatoa nguvu zako nzuri kwa wengine
na miaka yako kwa aliye mkatili, 10wageni wasije wakasherehekea utajiri wako
na jitihada yako ikatajirisha
nyumba ya mwanaume mwingine. 11Mwishoni mwa maisha yako utalia kwa uchungu,
wakati nyama na mwili wako vimechakaa. 12Utasema, “Tazama jinsi gani nilivyochukia adhabu!
Tazama jinsi moyo wangu ulivyodharau maonyo!
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.