Native Bible

Proverbs 5:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mwishoni mwa maisha yako utalia kwa uchungu, wakati nyama na mwili wako vimechakaa.

Proverbs 5:11 in English

Proverbs 5:11 · Berean Standard Bible

At the end of your life you will groan when your flesh and your body are spent,

Context

9usije ukatoa nguvu zako nzuri kwa wengine na miaka yako kwa aliye mkatili, 10wageni wasije wakasherehekea utajiri wako na jitihada yako ikatajirisha nyumba ya mwanaume mwingine. 11Mwishoni mwa maisha yako utalia kwa uchungu, wakati nyama na mwili wako vimechakaa. 12Utasema, “Tazama jinsi gani nilivyochukia adhabu! Tazama jinsi moyo wangu ulivyodharau maonyo! 13Sikuwatii walimu wangu wala kuwasikiliza wakufunzi wangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.