Native Bible

Proverbs 5:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Utasema, “Tazama jinsi gani nilivyochukia adhabu! Tazama jinsi moyo wangu ulivyodharau maonyo!

Proverbs 5:12 in English

Proverbs 5:12 · Berean Standard Bible

and you will say, “How I hated discipline, and my heart despised reproof!

Context

10wageni wasije wakasherehekea utajiri wako na jitihada yako ikatajirisha nyumba ya mwanaume mwingine. 11Mwishoni mwa maisha yako utalia kwa uchungu, wakati nyama na mwili wako vimechakaa. 12Utasema, “Tazama jinsi gani nilivyochukia adhabu! Tazama jinsi moyo wangu ulivyodharau maonyo! 13Sikuwatii walimu wangu wala kuwasikiliza wakufunzi wangu. 14Nimefika ukingoni mwa maangamizi kabisa katikati ya kusanyiko lote.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.