Native Bible

Proverbs 5:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sikuwatii walimu wangu wala kuwasikiliza wakufunzi wangu.

Proverbs 5:13 in English

Proverbs 5:13 · Berean Standard Bible

I did not listen to the voice of my teachers or incline my ear to my mentors.

Context

11Mwishoni mwa maisha yako utalia kwa uchungu, wakati nyama na mwili wako vimechakaa. 12Utasema, “Tazama jinsi gani nilivyochukia adhabu! Tazama jinsi moyo wangu ulivyodharau maonyo! 13Sikuwatii walimu wangu wala kuwasikiliza wakufunzi wangu. 14Nimefika ukingoni mwa maangamizi kabisa katikati ya kusanyiko lote.” 15Kunywa maji kutoka kwenye kisima chako mwenyewe, maji yanayotiririka kutoka kwenye kisima chako mwenyewe.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.