Native Bible

Proverbs 5:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sasa basi wanangu, nisikilizeni; msiache ninalowaambia.

Proverbs 5:7 in English

Proverbs 5:7 · Berean Standard Bible

So now, my sons, listen to me, and do not turn aside from the words of my mouth.

Context

5Miguu yake hushuka kuelekea kwenye kifo; hatua zake huelekea moja kwa moja kaburini.* 6Yeye hafikiri juu ya njia ya uzima; njia zake zimepotoka, lakini yeye hajui. 7Sasa basi wanangu, nisikilizeni; msiache ninalowaambia. 8Njia zenu ziwe mbali naye, msiende karibu na mlango wa nyumba yake, 9usije ukatoa nguvu zako nzuri kwa wengine na miaka yako kwa aliye mkatili,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.