Native Bible

Proverbs 5:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeye hafikiri juu ya njia ya uzima; njia zake zimepotoka, lakini yeye hajui.

Proverbs 5:6 in English

Proverbs 5:6 · Berean Standard Bible

She does not consider the path of life; she does not know that her ways are unstable.

Context

4lakini mwisho wake ni mchungu kama nyongo, mkali kama upanga ukatao kuwili. 5Miguu yake hushuka kuelekea kwenye kifo; hatua zake huelekea moja kwa moja kaburini.* 6Yeye hafikiri juu ya njia ya uzima; njia zake zimepotoka, lakini yeye hajui. 7Sasa basi wanangu, nisikilizeni; msiache ninalowaambia. 8Njia zenu ziwe mbali naye, msiende karibu na mlango wa nyumba yake,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.