Mithali 5:4
Proverbs 5:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
lakini mwisho wake ni mchungu kama nyongo, mkali kama upanga ukatao kuwili.
Proverbs 5:4 in English
Proverbs 5:4 · Berean Standard Bible
in the end she is bitter as wormwood, sharp as a double-edged sword.
Context
2ili uweze kutunza busara
na midomo yako ihifadhi maarifa. 3Kwa maana midomo ya mwanamke kahaba
hudondoza asali,
na maneno ya kinywa chake
ni laini kuliko mafuta; 4lakini mwisho wake ni mchungu kama nyongo,
mkali kama upanga ukatao kuwili. 5Miguu yake hushuka kuelekea kwenye kifo;
hatua zake huelekea moja kwa moja kaburini.* 6Yeye hafikiri juu ya njia ya uzima;
njia zake zimepotoka, lakini yeye hajui.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.