Mithali 5:2
Proverbs 5:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
ili uweze kutunza busara na midomo yako ihifadhi maarifa.
Proverbs 5:2 in English
Proverbs 5:2 · Berean Standard Bible
that you may maintain discretion and your lips may preserve knowledge.
Context
1Mwanangu, sikiliza kwa makini hekima yangu,
sikiliza vizuri maneno yangu ya busara, 2ili uweze kutunza busara
na midomo yako ihifadhi maarifa. 3Kwa maana midomo ya mwanamke kahaba
hudondoza asali,
na maneno ya kinywa chake
ni laini kuliko mafuta; 4lakini mwisho wake ni mchungu kama nyongo,
mkali kama upanga ukatao kuwili.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.