Native Bible

Proverbs 5:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mwanangu, sikiliza kwa makini hekima yangu, sikiliza vizuri maneno yangu ya busara,

Proverbs 5:1 in English

Proverbs 5:1 · Berean Standard Bible

My son, pay attention to my wisdom; incline your ear to my insight,

Context

1Mwanangu, sikiliza kwa makini hekima yangu, sikiliza vizuri maneno yangu ya busara, 2ili uweze kutunza busara na midomo yako ihifadhi maarifa. 3Kwa maana midomo ya mwanamke kahaba hudondoza asali, na maneno ya kinywa chake ni laini kuliko mafuta;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.