Native Bible

Proverbs 4:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nilipokuwa mvulana mdogo katika nyumba ya baba yangu, ningali mchanga na mtoto pekee kwa mama yangu,

Proverbs 4:3 in English

Proverbs 4:3 · Berean Standard Bible

When I was a son to my father, tender and the only child of my mother,

Context

1Sikilizeni wanangu, mafundisho ya baba yenu; sikilizeni kwa makini na mpate ufahamu. 2Ninawapa mafundisho ya maana, kwa hiyo msiyaache mafundisho yangu. 3Nilipokuwa mvulana mdogo katika nyumba ya baba yangu, ningali mchanga na mtoto pekee kwa mama yangu, 4baba alinifundisha akisema, “Yashike maneno yangu yote kwa moyo wako wote; yashike maagizo yangu na wewe utaishi. 5Pata hekima, pata ufahamu; usiyasahau maneno yangu wala usiyaache.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.